The Science Behind Time Travel & Dream Exploration
Apr 14, 2025
Je, ndoto zako zina maana zaidi ya unavyofikiri?
Katika video hii ya kusisimua, tunachunguza uwezekano wa kusafiri kwa muda kupitia ndoto, kwa kutumia mitazamo ya kisayansi (Relativity ya Einstein), kiroho, na kitamaduni.
Tutagusa:
Jinsi Einstein alivyoeleza uwezekano wa kusafiri muda
Imani za kiafrika kuhusu ndoto na wahenga
Njia ambazo roho inaweza kutembea nje ya mwili
Siri za ndoto zinazotabiri maisha ya baadaye
Tazama hadi mwisho kujua kama wewe ni msafiri wa wakati pia!
Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa video zaidi kama hii.
---
Show More Show Less 
