Cross of Peter: The Most Surreal Scandal in the History of the Church
May 1, 2025
MSALABA ULIOGEUZWA – Ni Alama ya Kishetani au ya Unyenyekevu?
Katika video hii ya kipekee, tunafunua historia halisi ya Msalaba Ulio Geuzwa Chini, unaojulikana pia kama Petro’s Cross. Watu wengi wameamini kwamba msalaba huu ni alama ya kishetani, lakini je, ni kweli? Au ni imani potofu iliyozaliwa na upotoshaji wa kisasa?
Tutakuonesha:
📜 Asili ya msalaba huu katika kifo cha Mtume Petro
📜 Maana yake katika Kanisa Katoliki na mapokeo ya Kikristo
📰 Jinsi media ya kisasa ilivyopotosha alama hii
Hii ni simulizi ya kihistoria na ya kiroho utakayopenda kuitafakari!
Tazama mpaka mwisho ili kuelewa tofauti kati ya imani ya kweli na imani potofu.
Usisahau:
LIKE, COMMENT & SUBSCRIBE kwa maudhui zaidi ya elimu, imani na historia kutoka Cyimsky
Hashtags (kwa SEO):
#MsalabaWaChini #PetrosCross #HistoriaYaUkristo #ImaniPotofu #UkweliWaBiblia #Cyimsky #AlamaZaImani #Ukristo
Show More Show Less 
