VICTORIOUS FAMILY GOSPEL MUSIC:UPENDO WAKO KWANGU HAUNA MIPAKA .@Clementjackson3
Nov 20, 2022
Jambo wapendwa katika bwana, kwanza kabisa tunamshukuru mungu kwaku tuwezesha kukamilisha atuwa ya audio yetu ya kwanza kabisa ambayo imepewa jina la UPENDO WAKO KWANGU HAUNA MIPAKA. Pili kabisa shukrani nyingi kwa wazamini waliyo jitolea kwa support naku manage kazi iyi CLEMENT MTENDJI NA CLEMENTINE KASHINDI . Tatu kabisa kunaomba support yenu kwaku SUBSCRIBE YouTube channel yetu na mungu awabariki AMEN 🙏 @Clementjackson3
Show More Show Less 
